1⃣ UCHAFU WENYE DAMU AU RANGI YA KAHAWIA
• Hi ni dalili ya mzunguko wa mwezi wa mwanamke uliovurungika na Mara chache ni dalili ya cancer ya cervix au aina nyingine ya cancer iitwayo endometrial cancer.
Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.
2⃣UCHAFU WA NJANO AU KIJANI WENYE HARUFU MBAYA
• Endapo uchafu ukatoka kama mapovu, wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya, Hi ni dalili ya Trichomoniasis.
Maambukizo ya (parasitic) yanayotokana na Ngono zembe. Dalili ingine ni kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.
3⃣ UCHAFU MWEUPE ,WA NJANO AU KIJIVU WENYE HARUFU YA SAMAKI.
• Uchafu wa aina hii ni dalili ya maambukizi ya bacteria (vaginosis).
Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu ,kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (vulva)
4⃣ UCHAFU WENYE RANGI YA MAWINGU AU NJANO
• Hi ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonerhea) mwanamke atatokwa na damu katikati ya Siku zake, Atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya n

0 Comments