KAZI ZA TRE EN EN





 KAZI ZA TRE-EN-EN

📌Husaidia kupata choo laini
📌Husaidia kubalance hormone, kubalance mizunguko ya wadada na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi
📌Husaidia mizunguko ya damu mwilini na afya ya moyo
📌Huongeza nguvu mwilini
📌Hukuondolea uchovu na kukufanya kuwa mchangamfu siku nzima
📌Husaidia kutoa sumu mwilini
📌Huboresha mbegu za kiume(sperm)
📌Husaidia mfumo wote wa mwili kufanya kazi vizuri
📌Husaidia kwa wale wenye malaria sugu na za mara kwa mara kupotea kanisa
📌Husaidia kuwa na ngozi laini na nzuri

Post a Comment

0 Comments