JE UNASUMBULIWA NA UTI SUGU ,PID NA FUNGUS UPO MAHALI SAHIHI

 


PID

Pelvic Inflamatory Desease
hii ni maradhi yanayoshambulia mfumo wa uzazi wa mwanamke... ugonjwa huu huwapata wanawake tu mwanaume hawezi kua na maradhi haya...
Dalili za tatizo hili la PID dalili zake ni KUTOKWA na uchafu MWEUPE au rangi ya kahawia UKENI wenye harufu ya shombo au usio na harufu , kupata miwasho , maumivu ya kiuno / mgongo, kupata maumivu WAKATI WA TENDO, hedhi kuvurugika HAINA tarehe maalum, maumivu makali WAKATI wa hedhi, UTI isiyoisha, kuharibika KWA mfumo wa HOMON,
Kutokunasa ujauzito , likiwa SUGU husababisha SARATANI/KANSA ktk shingo ya kizazi au kupata UGUMBA kabisa.
UTI
Urinary Tract Infection
hii ni maradhi ambayo hushambulia kuuchafua mfumo wa mkojo.. mfumo wa mkojo kuanzia figo, kibofu cha mkojo, uretha na urethra.. hii huwapata watu wajinsia zote na rika zote
lakini katika mtibabu ya PID kama mwanamke ametibiwa basi PID basi na mume wake anatakiwa kutibiwa kwasababu mwanaume hubeba bacteria lakini yeye hua haumwi.. hivyo anatakiwa kutibiwa kuu hao bacteria asipotibiwa akikutana na mke humuambukiza tena....
NI NINI U.T.I
NA NINI MADHARA YAKE, NA ZIPO AINA NGAPI ZA UTI?
UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na watu wazima.
UTI (Urinary Tract Infection); ni maambukizi kwenye njia ya mkojo. ambayo chanzo chake kikubwa kipo kwenye sehemu ya haja kubwa(anus)au kwenye utumbo mpana(large intestine
Ugonjwa huu hushambulia
(1) figo (kidneys);
(2) ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo,
kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
AINA ZA U.T.I
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu
Dalili za upper UTI ni:
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika
Ukiipuuza U.T.I Unaweza kupata athali kubwa sana kama zifuatazo
1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure)
hii ni hatari sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,kama kibofu kuziba ,kushindwa kukojoa ,hii hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3 .maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.kuharibu homon(hormon inbalance)
6.mimba kuharibika
7.kishindwa kubeba ujauzito.
Je unasumbuliwa na matatizo haya????
Wasiliana nasi
0769967740

Post a Comment

0 Comments