HORMONE IMBALANCE /MVULUGIKO WA HOMONI

 *HOMON IMBALANCE (KUVURUGIKA KWA HOMONI)*

:Hili ni tatizo linalowakumba wakina mama(wanawake) wengi ambalo husababishwa na kiwango kidogo cha hormone ya ESTROGEN.


 *VYANZO VYA KUVURUGIKA KWA HORMONE*

👉Utoaji wa mimba

👉Uwepo wa sumu mwilini.

👉kutokula mlo uliokamili au mfumo mbovu wa maisha.

👉Family history(upungufu wa ongezeko ya homoni ya progesterone

👉mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa.

👉uzito mkubwa

👉Msongo wa mawazo.

👉Kutofanya mazoezi.

👉Matumizi ya kisasa ya uzazi wa mpango.

👉Kukoma kwa hedhi.


*Dalili za kuvurugika kwa homoni*

👉Maumivu wakati wa tendo LA ndoa.

👉Kutoshika mimba.

👉Mzunguko wa hedhi kubadilika.

👉Kuongezeka uzito.

👉Kupungua hamu ya tendo LA ndoa.

👉Kupoteza kumbukumbu.

👉Hasira za Mara kwa Mara.

👉Damu kutoka nyingi wakati wa hedhi au kutoa damu yenye mabongemabonge

👉Uke kuwa mkavu.

👉kutoka jasho jingi usiku.

👉maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi

👉mzio wa vyakula/Allerg kuchaguachagua vyakula.


*Madhara ya kuvurugika kwa homoni*

 👉kutoshika ujauzito kwa mda mrefu.

 👉Mimba kuharibika


Post a Comment

0 Comments