Super Gro ni Kirutubisho bora asilia cha Mimea kisicho na kemikali ambacho kilitengenezwa ili kuhakikisha uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao kwa ubora wa hali ya juu kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi asilia chenye sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu unayoweza kupata kutoka kwa mbolea zingine za kemikali.
Super Gro ni bidhaa ya NEOLIFE, Hii ni kampuni ambayo kitaalamu inatengeneza na kusambaza duniani kote bidhaa za asili na lishe kwa binadamu na mimea .Super Gro ni kirutubisho cha maji kwa mimea ambacho hakina kemikali kabisa iliyoongezwa au kuchanganywa nayo,hiki kirutubisho ni salama kwa asilimia 100% kutumia kwenye mboga au mazao yoyote. Super Gro inaweza kutumika kwa mimea yoyote, mti, mboga na majani ambayo yanahitaji mbolea.
Kazi ya ziada ya Super gro/Faida zake
- Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa
- Huongeza maua ya uzallishaji na huzuia kupukutika kwa maua hayo
- Huongeza kiasi cha mavuno na pia ukubwa wa matunda
- Huongeza uzito wa mazao kwa mfano kabichi, viazi, mahindi, ngano, vitunguu, karoti, korosho, chai, kahawa, maharage, kunde na mazao mengineyo.
- Hunyonywa haraka zaidi na mimea na pia haina ugomvi na bidhaa zingine za kusaidia ukuaji wa mimea
- Husaidia kutunza unyevunyevu wakati wa jua
- WEKA ODA LEO
- 0769967740
0 Comments