*
Chelated Zinc*
Kama bidhaa muhimu katika suluhisho la uzazi kwa mwanamke, Chelated Zinc ina kazi kubwa sana katika mzunguko wa hedhi na utungaji wa mimba.
Mwanamke akiwa na upungufu wa Zinc itakuwa ni vigumu sana kupata ujauzito.
Kiwango kidogo cha Zinc kwa mwanamke kimehusishwa na matatizo kama uwiano mbaya wa vichocheo (hormonal imbalance), ambayo huweza kuleta matatizo kama kuziba kwa mirija ya uzazi, matatizo katika mzunguko wa hedhi, na kutopata ujauzito.
Hivyo, kwa wanawake wenye matatizo hayo wanashauriwa kutumia Chelated Zinc ili kuongeza kiwango cha Zinc mwilini na kuweka uwiano sahihi wa vichocheo ili kuepuka na/au kurekebisha matatizo ya uzazi.

0 Comments