Wanawake Wengi Wamekuwa Wakipitia Changamoto Nyingi Wakati wa Ujauzito Kama
⏩ Kupata Kichefuchefu
⏩Kushindwa Kula Chakula Vizuri
⏩Ngozi Kulala na Kuwa kavu
⏩Mimba Kutishia Kutoka
⏩Kupata Kifafa Cha Mimba Baada ya Kujifungua
.
Haya Yote Hutokea Sababu ya Mabadiliko Ya mwili kama Kinga ya Mwili Kushuka na Upungufu wa Madini na Vitamins Mwilini
.
Hivyo Mama Mjamzito Anahitaji Virutubisho Lishe kwa Wingi Sana Kumtosheleza Yeye na Mtoto Aliye Tumboni Mwake ili Kujenga Mifupa na Viungo Vyake,
.
Ili Uweze Kuwa na Mimba yenye Afya na Ngozi ya kiasili Tumekuandalia Darasa Maalum Jinsi ya Kulinda na Kukujenga Kuwa na Mimba Yenye Afya na mwonekano Mzuri
Sio Ukiwa na Mimba Basi ndio Ujizeeshe we Hapana
Kama Una Ujauzito Kuanzia Mwezi Mmoja na Kuendelea Gusa Button ya Whatsapp kabla Darasa Kujaa.

0 Comments