*DALILI ZA HORMONE IMBALANCE*
KWA: *MWANAMKE*
🛑UKAVU ukeni
🛑Maumivu wakati wa tendo.
🛑Maumivu chini ya kitovu.
🛑Mabadiliko ya siku za hedhi.
🛑Kupata/kuwa katika kipindi Cha hedhi kwa muda zaidi ya siku 7
🛑Kukosa hedhi kwa muda mrefu
🛑Kutopata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20.
🛑Kusahau Sana/Kukosa kumbukumbu.
🛑Kuota chunusi
🛑Kuota ndevu
🛑Kusinyaa kwa uke.
🛑Kutokupata usingizi vizuri
🛑 Kuon
geza uzito ghafla.
🛑Kupata choo kwa shida/kuharisha.
🛑Kutokuwa sawa kwa mapigo ya moyo
🛑Kichwa kuuma Mara kwa mara
🛑Uchovu wa Mara kwa mara.
🛑Ngozi kuwa kavu Sana.
🛑Maumivu ya mifupa na viungo.u
🛑Kujisikia joto ghafla wakati wa Usiku.
🛑Chunusi wakati wa hedhi au kabla.

0 Comments