Mwanawake Jitahidi kinywaji hiki kiwe miongoni mwa vinywaji vyako asubuhi,
Ukiachana na kuongeza utelezi wakati wa tendo, bamia ni msaada hata kwenye changamoto za hedhi kwa wale mnaopata dalili ya homa kali, vichefuchefu, mikazo ya tumbo au kutoa uchafu mzito mweupe siku kadhaa kabla ya kuingia bleed
Bamia ina kiwango kizuri cha madini ya Zinc na Chuma ndio maana inashauriwa kutumika kwa wanaume pia hii ni msaada mkubwa sana kwa afya ya moyo.
Bamia lina balansi kiwango cha homoni ya oestrogen kwa wenye shida ya kukosa hisia na inflammations kwenye via vya uzazi n.k
Kuna wale mnaosema linawashinda kulinywa lenyewe tu kwa sababu ya utelezi, unaweza kulijaribu kwa namna nyingine yenye ladha ndani yake
Usiku chukua hata bamia mbili (ili zisiwe nyingi utelezi ukawa mwingi kwenye maji), katakata na uloweke kwenye maji, asubuhi chuja maji hayo kisha kamulia limao na ongeza vijiko kadhaa vya asali
Sio lazima kunywa kila siku, kwa sababu bamia lina faida nyingi unaweza kutumia hata kwa wiki mara tatu pekee
Anza taratibu, kadri utavyopata matokeo yake ndivyo utahamasika kuendelea kulitumia..
Kama una changamoto za hedhi au uzazi unatafuta ujauzito kwa muda mrefu
Wasiliana nasi...0769967740

0 Comments